2/01/2006

Natangaza Kuzaliwa Kwa....

Je una habari za kuzaliwa kwa blogu hizi? Nitaandika machache kutokana na ujio wa wanablogu hawa wapya (ukiacha blogu ya watoto ambao ni ukurasa wa pili wa Da Mija). Watembeeleeni tafadhali na kuwaunga mkono. Kuna ndugu Lubuva, bonyeza hapa. Halafu Kisima cha Weledi, bonyeza hapa. Kutana na Jungu Kuu (lina ukoko au halina?), bonyeza hapa. Na masuala ya watoto kupitia Da Mija, bonyeza hapa.

Kasri halali akitafuta kila mbinu za kuleta wanablogu wapya. Msome mwenyewe kwa kubonyeza hapa kuhusu juhudi zake hizo na matunda yake.

2 Maoni Yako:

At 2/02/2006 12:02:00 PM, Blogger John Mwaipopo said...

Karibuni sana wanakwetu katika henya-henya hii.

Ndesanjo: Nimeoa mwanamke mwingine. Yule wa awali nimelazimika kumuacha kwa sababu za kiganga. Huyu wa sasa anaitwa mwaipopo.blogspot.com

 
At 2/02/2006 05:41:00 PM, Blogger Jacob Lubuva said...

Kaka Ndesanjo, nashukuru kwa kuitembelea na kuitangaza blogu yangu kwa kishindo, uwanja wa habari nilioubatiza Jarida la Ughaibuni. Nani naahidi kuitumia teknologia hii kuelimisha jamii na kuelimika kwa kusoma mawazo ya wenzangu

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com