1/18/2006

Mwanablogu Kimazichana....bado namchekicheki

Mwanablogu mpya, Kimanzichana, bado nimnacheki kinamna. Sijui wewe. Mtembelee kwa kubofya hapa. Je ni mtu wa kejeli, dhihaka, sanifu, ucheshi, n.k.?

1 Maoni Yako:

At 1/25/2006 06:29:00 PM, Anonymous kimanzichana said...

Naona kutoka kwangu kijijini inakuwa inaleta twaabu kidogo. Tafadhalini mnisamehe mimi sikupenda kuzaliwa huku Kimanzichana. Labda mkija kunitembelea mtaona kuwa na sisi watu wa vijijini ni watu wa kawaida tunaopenda maendeleo.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com