2/04/2006

Blogu Hadi Kasulu..

Kama mapinduzi ya uandishi pepe unaona kuwa ni utani, fikiria tena. Kasulu nako kuna blogu. Ndugu yetu Njili Mwakoba amekata shauri. Ameanza kublogu. Mtembelee umkaribishe. Bonyeza hapa.

2 Maoni Yako:

At 2/05/2006 01:31:00 AM, Blogger Reggy's said...

Nakupongeza sana bwana Ndesanjo kwani, kwa utafiti wangu ambao hauhitaji utafiti, unaongoza kwa kutangaza blogu mpya. Karibu zote mimi nazipata kupitia kwako.

 
At 2/05/2006 01:28:00 PM, Blogger John Mwaipopo said...

Karibu ndugu yetu Njili Mwakoba. Si vema kuja kimya-kimya. Katu hatuna ugomvi nawe.

Ndesanjo: Kiunganishi changu nimebadilisha. Badilisha pale kwako mara moja!!!!!

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com