12/03/2005

Mwanablogu Mpya: Dan, Umeishia wapi?

Dan Makundi ni mhandisi pale jijini Dasalama. Anablogu kwa kiingereza. Amekuwa kimya kidogo toka alivyoandika mara ya mwisho Novemba 8 mwaka huu. Bonyeza hapa umsome (ila tafuta kamusi kabisa kabisa!).

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com