11/23/2005

Kama Kuna Siku Mabata Yanaipata...

Kama kuna siku mabata hapa duniani yanapata ni hapo kesho. Kama kuna siku bata wanaliwa kwa wingi hapa duniani ni hapo kesho Wamarekani wanaposherehekea sikukuu ya "thanksgiving." Kesho ni siku ya kula bata kama vile sijui nini...nchi nzima itakula bata kwa mlo wa mchana. Bonyeza hapa usome kuhusu sikukuu hiyo.
**************************************************
Halafu: Navuta pumzi kisha niongelee mambo kadhaa ambayo wasomaji waliotoa maoni wamezungumzia hasa suala la utamaduni na kuiga.

2 Maoni Yako:

At 11/23/2005 10:26:00 PM, Anonymous Anonymous said...

vuta pumzi kaka alafu kanyaga twende ruksa kupata muda wa kujenga hoja na kujitetea dhidi ya maoni yetu, hagombwi mtu kwa raha zako taratibu ili upumzishe kichwa kipoe.
TUZIDI KUPENDANA NA UDUMU UHURU.

 
At 11/23/2005 10:54:00 PM, Anonymous Anonymous said...

alafu kaka hii blogu yako inachelewa sana kusambaza maoni sijui kwa nini hebu angalia tafadhali.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com