11/21/2005

Blogu ya Sauti za Dunia Yashinda!

Ule mchuano wa blogu bora katika katika vigezo na lugha mbalimbali (Kiswahili hakimo!) umemalizika. Na kwa upande wa blogu za kiinglishi (kiingereza) blogu ya Mradi wa Sauti za Dunia imeshinda. Shukrani zinakwenda kwa waliopiga kura. Bonyeza hapa uone tangazo la ushindi huo. Bonyeza hapa uone blogu zote zilizoshinda.

4 Maoni Yako:

At 11/22/2005 01:38:00 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Hongera sana kwa timu nzima ya mradi wa dunia kwa ushindi huo.

 
At 11/22/2005 10:36:00 AM, Blogger Innocent said...

hongera, ila ni kwanini lugha yetu Kiswahili haikuwepo?
Wataishindanisha lini?

 
At 11/23/2005 10:56:00 PM, Anonymous Anonymous said...

wawawawawawawawa, hongera, imara, waaaaaaaaaaa

 
At 11/23/2005 10:58:00 PM, Anonymous Anonymous said...

wewe innocent kwani wewe unafanya nini usihakikishe kiswahili nacho kimeingia wacha kusubiri kufanyiwa nawe fanya.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com