11/23/2005

Kenya: Wa Rangi ya Machungwa Washinda Lakini...

Waliopiga kura kuitakaa katiba iliyokuwa imfanye rais wa Kenya kuwa kama mfalume wameshinda. Ila Rais wa Kenya, Mzee Mwai Kibaki amesema kuwa Wakenya wanapaswa kujua kuwa Kenya tayari ina katiba ambayo imekuwa ikitumika siku zote!
Umeelewa undani wa kauli yake hiyo?

3 Maoni Yako:

At 11/23/2005 10:00:00 AM, Blogger Boniphace Makene said...

Ndesanjo tafadhali ongeza juu ya habari hiyo maana sina mpya hapa na suala hili ni muhimu sana kama lile la hati za Muungano wa Bongo

 
At 11/23/2005 11:50:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Sijaelewa undani wa kauli hiyo.Baada ya kushindwa ndio anaona walikuwa tayari na katiba?

 
At 11/24/2005 04:52:00 AM, Blogger Innocent said...

kwanza alipaswa ajiuzulu manake ni wazi kapoteza uaminifu kwa wananchi.
Demokrasi imafanya kazi yake ila hapa Uganda ndio hoi kabisa.Nakwambia wanajeshi kila kona.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com