12/29/2005

Isikilize Sauti ya Baragumu

Zamani kulikuwa na gazeti Tanzania lililoitwa Baragumu (labda limefufuka tena, sijui). Baragumu ninayozungumzia sio hilo gazeti bali ni blogu mpya ya ndugu yetu ambaye alikuwa mwanablogu hata kabla hajawa na blogu yake mwenyewe kutokana na ushiriki wake kupitia maoni yake katika blogu mbalimbali. Huyu ni ndugu Mwaipopo anayeblogu toka Alabama. Bonyeza hapa ukamsabahi.

1 Maoni Yako:

At 12/30/2005 05:07:00 AM, Blogger Rama Msangi said...

Siku hizi ndugu zangu kiasi majukumu yameniwia mengi nadhani naweza kusema hadi kupitiliza....kweli ukubwa una kazi, lakini kwa ujumla sijawatupa na mara kwa mara huwa nawatembelea lakini nakuwa nimechoka maana kazi za makaratasi ni ngumu sana. Nisaidie kusambaza ujumbe huu kwa marafiki wote wa mtandaoni

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com