12/16/2005

Kanye West na Joji KichakaHii picha niliipiga wakati wa maandamano ya Vuguvugu la Mamilioni na Zaidi kule Washington, DC. Kama unakumbuka, mwimbaji Kanye West alipokuwa akitumbuiza kwenye tamasha kwa ajili ya waliathirika na Katrina alisema kuwa Joji Kichaka hana habari na watu weusi. Swali kwenye picha hiyo linatokana na kauli hiyo ya Kanye West.

1 Maoni Yako:

At 12/16/2005 07:38:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Check out the truth about Kanye West

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com