12/13/2005

Na Huyu ndiye Kenyan Pundit


Na huyu ndiye mwanablogu Ory wa blogu ya Kenyan Pundit akiwa kwenye mkutano wa wanablogu uliomalizika mwishoni mwa wiki nchini Uingereza. Ory ni kati ya wanablogu ambao kupitia blogu zao wanilitia hamasa ya kuanza kublogu. Moja ya kazi kubwa ambayo ameifanya karibuni kupitia blogu yake ni kuripoti zoezi la kura ya maoni ya katiba mpya nchini Kenya.
Ukitaka picha hiyo iwe kubwa zaidi, bonyeza juu yake.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com