12/10/2005

Kenyan Pundit anaongelea blogu za Kenya

Mjadala unaondelea hivi sasa katika mkutano huu hapa ni kuhusu jinsi ya kujenga na kuimarisha blogu za nchi mbalimbali. Mwanablogu Ory, Kenyan Pundit, amemaliza kuongelea kuhusu blogu za Kenya zinavyoshamiri. Amezungumzia makazi ya blogu za Kenya kuwa ni moja ya mafanikio ya wanablogu wa Kenya. Bofya hapa uone makazi hayo.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com