12/14/2005

Kurunzi la Ndugu Mark Hiloooo: Blogu Mpya!

Mark Msaki ni mwanafunzi wa udakitari katika chuo kikuu cha Kwa Zulu Natal kule Afrika Kusini. Amesema kuwa ingawa yeye sio mwandishi wa habari, ana nasaha na maoni ambayo anapenda kuyatoa hadharani. Na chombo ambacho anamependa kukitumia kufanya hilo ni blogu. Kaanzisha blogu yake ambayo ameiita Kurunzi. Bonyeza hapa usome na kumkaribisha.

1 Maoni Yako:

At 12/16/2005 07:31:00 PM, Blogger Jeff Msangi said...

Tumemkaribisha Mark,
Ana mengi mazito ya kuchangia na inaonekana mchango wake tunauhitaji sana.Lazima tuwe na madaktari ili siku tukiingia "msituni" tuwe na kuwakututibu.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com