12/21/2005

TAFAKARI YA MAISHA: Mwanablogu mwingine aingia uwanjani

Nani alisema kuwa kule Musoma hakuna wanablogu? Acha utani...yupo mwanablogu mpya wa Tafakari ya Maisha toka Musoma. Anauliza ni kitu gani cha muhimu kati ya uhai na kuvaa? Sasa kama kawaida yetu tumkaribishe. Bonyeza hapa umtembelee na kumpa maneno mawili matatu ya kishikaji.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com