3/22/2005

KICHAA MWENYE UPARA

Tunawajengea magereza,
Tunajenga shule zenu,
Mnatupa elimu ya kutupumbaza,
Mnatutuza chuki kwa upendo wetu
Mkitusimulia juu ya mungu wenu aliye mbinguni...
- Bob Marley katika wimbo wa Crazy BaldHead

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com