DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE?
Eti Chukua Chako Mapema wamegalagazwa na kubebwa nginjangija pamoja na kutumia hadi mitutu. Ushindi waliotegemea umenyakuliwa kama kifaranga...nimeipata toka vyombo vya habari. Sina ushahidi. Usininukuu! Nawe ipate hapa.
BLOGU YA KISWAHILI KWA AJILI YA KUSAFISHA FIKRA ZA WAAFRIKA!
Eti Chukua Chako Mapema wamegalagazwa na kubebwa nginjangija pamoja na kutumia hadi mitutu. Ushindi waliotegemea umenyakuliwa kama kifaranga...nimeipata toka vyombo vya habari. Sina ushahidi. Usininukuu! Nawe ipate hapa.
      posted by Ndesanjo Macha @ 12/07/2004 06:46:00 PM  
      
         0 comments
        
You can also find me @: Jikomboe(Kiswahili)
 Mwongozo (A Blogging Guide In Swahili)
Global Voices Online
 
0 Maoni Yako:
Post a Comment
<< Home