10/14/2005

Wakati huo huo...

Wakati huo huo sikujua kuwa meneja wa Oakland Athletics in ndugu yangu. Itabidi nianze kumtembelea! Kama huamini soma habari hii hapa na utazame jina lake.

3 Maoni Yako:

At 10/14/2005 11:57:00 PM, Blogger mwandani said...

mababu zetu walikuwa wanaoa wake wengi. Si ajabu.

 
At 10/15/2005 12:38:00 AM, Blogger mloyi said...

jiulize vizuri, labda ndio ile ndoto yako ya kurudisha ngozi nyeupe pale ikulu.
Unajua mungu ni mkubwa sana, anaweza kukuonyesha kitu kabla ya kufikia.

 
At 10/16/2005 12:25:00 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Mwandani, usinivunje mbavu.
Mloyi, kweli mungu mkubwa nina ndugu wazungu! Nijichubue nini?

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com