10/09/2005

Alana Davis jana usiku

Onyesho la jana usiku la mwanamuziki Alana Davis kwa ajili ya kumalizika kwa mkutano wa ConvergeSouth lilikuwa moto wa kuotea mbali. Soma historia fupi ya Alana kwenye gazeti ya Yes Weekly. Hapa. Saa ambapo ukumbi ulikuwa kama umeingiwa na wazimu ni pale alipoimba wimbo wa 32 Flavors.

Hivi na yule jamaa mwenye "dreads" aliyekuwa akimfuata Alana mgongoni kila anakokwenda ndio nani???!!!!!

** Kwa muda mfupi leo hii blogu hii itakuwa haisomeki vizuri. Kutakuwa na ujenzi kidogo kisha itarudi tena kama kawaida na hapo ndio nitaandika zaidi juu ya mkutano huu wa jana na juzi na ule wa We Media na mengineyo.

1 Maoni Yako:

At 10/09/2005 02:16:00 PM, Anonymous mshairi said...

Yule 'mwenye dreads'si ni yule 'Ndasanj Maka'?:)

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com