10/04/2005

Mkutano wa We Media na Converge South

Usisahau kufuatilia mkutano wa WE MEDIA unaofanyika kesho New York kupitia blogu hii. Tazama progamu nzima ya mkutano huo wa WeMedia.

Halafu ule mkutano wa ConvergeSouth katika chuo kikuu cha A & T ni mwisho wa wiki. Mkutano huu wanablogu tumepewa wasaidizi (interns)! Hawa wasaidizi ni wanafunzi wa uandishi wa habari. Sijui nitawatumia kuwatuma maji...au...nisaidie...

*** Taarifa: maneno yenye wino wa njano kawaida huwa ni kiunganishi cha tovuti.webu au blogu nyingine. kwahiyo ukibonyeza juu ya maneno hayo utapalekwa ninakokuelekeza.
Nasema haya maana kuna wasomaji wamekuwa wanapata tabu kutambua kuwa maneno hayo ya njano ni viunganishi.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com