10/04/2005

samahani

Samahani. Blogu yangu ilikuwa imeanguka kidogo kwa ajili ya matengeneza. Niliiangusha bila kutoa taarifa. Niko katika harakati za kuihamisha.

Kesho kumbuka ni siku ya mkutano mkubwa kuhusu teknolojia mpya za habari. Tazama hapa.
Nitaandika zaidi toka katika mkutano huo.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com