9/27/2005

Muhtasari wa Mkutano wa Utandawazi na Demokrasia Helsinki

Niliandika muhtasari huu hivi majuzi kwa ajili ya blogu ya Sauti za Dunia (Global Voices) kuhusu mkutano niliohudhuria majuzi kule Helsinki, Ufini. Usome kwa kubonyeza hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com