9/09/2005

Tumeanua Jamvi

Haya, ndio mkutano umefungwa hivyo. mabango yanaondolewa. Viti vinakusanywa. Vitambaba vya mezani vinakujwa. Picha zinapigwa. Anuani kubadilishana. Mvinyo wa mwisho mwisho. Na karanga pia (ila mpishi kazimwagia chumvi kabisa).
Baada ya miezi michache, kutakuwa na mkutano mwingine utakaoitishwa na serikali za Tanzania na Ufini utakaojumuisha washika dau zaidi ambao kazi yake utakuwa ni kuweka mtandao wa kuhakikisha kuwa maazimio ya mkutano huu yanatekelezwa.
Pichani hapo juu ni Watanzania waliokuwa wakishiriki mkutanoni hapa.

4 Maoni Yako:

At 9/10/2005 08:29:00 AM, Anonymous Anonymous said...

nafurahia blogg yako.kitu ambacho kina ambacho kinanikera ni level ya umasikini tanzania kwa watu wa chini.Gharama ya kuendesha bunge lete uchwara ni kubwa mno.Hospitali hazina madawa,watoto bado wanakaa chini ya miti kuhudhuria darasa-kama picha ya hivi karibuni wilaya ya Temeke ilivyoonekana kwenye IPPmedia website.Hakuna upinzani wa kweli.
Tuna wabunge wengi wana Phd sasa.Ni rahisi kukaa Dodoma kenye Bunge na kupata phd!Washington international na Commonweath Open universities ndio top Uni kupata Phd .Status!Ni joke kwa Phd and real Doctors!hawawezi hata kufundisha secondary .that is for sure.
Nafikiri wizara ingeingilia suala hili kwa sababu it is a big joke.Kuna vyuo vingi bongo na reputable kama Open,udsm,mzumbe,etc.

At 9/11/2005 09:16:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Samahani, hivi hawa ndugu wajumbe wote walikuwa na assignements gani? Au walikuwa wanakula raidi ya mwisho na mheshimiwa Rais?

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com