9/08/2005

Blogu mpya ya Muhidin Issa Michuzi


Mpiga picha maarufu wa gazeti la Daily News Tanzania, Muhidin Issa Michuzi amekata shauri. Hajakata shauri kumpokea bwana, bali kuwa mwanablogu wa picha (photoblogger). Basi kuanzia leo umtembelee. Ninakuhakikishia kuwa hutajilaumu. Picha zake nimekuwa nazipenda toka zamani. Tumekutana hapa Helsinki. Bofya hapa umtembelee na kumkaribisha.
Kwenye picha hii tuko kwenye tafrija fupi ys kumkaribisha kwenye uwanja wa blogu.

1 Maoni Yako:

At 9/09/2005 02:00:00 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Nashukuru sana kwa kumleta Bwa. Muhidini katika Ulimwengu wa blogu.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com