9/07/2005

MKAPA ANAONGEA HIVI SASA

Hivi sasa tunamsikiliza rais wa Tanzania, Benjamin Mkapa, ambaye anasema kuwa kizazi chetu ndio kizazi ambacho kinaweza kutazama umasikini duniani na kuamua kuupiga vita na kuumaliza. Sababu ni kuwa tuna uwezo wa kifedha na teknolojia. Anasema kuwa watu wote duniani tunapaswa kujua kuwa dunia hii ni yetu wote na kuishi kama kaka na dada.
Kumbuka unaweza kutazama mkutano huu kupitia mtandao wa kompyuta. Bofya hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com