9/02/2005

Msangi Mdogo na Msangi mwingine washiriki Siku ya Blogu Duniani

Kumbe Msangi Mdogo naye ameshiriki kwenye Siku ya Blogu Duniani kwa kuchagua wanablogu wake. Msome hapa. Msangi kichwa cha blogu yake kinanifurahisha. Kinasema: Tukazane Kujenga kwa Mioyo Yetu, Mtafune kwa Meno Yenu?

Hajasema anazungumzia akina nani, ila najua mimi na wewe tunafahamu ni akina nani hao anawarushia madongo.
Jeff Msangi ambaye anablogu toka Kanada kwa kiingereza na Kiswahili naye hakubaki nyuma. Hizi hapa ndio blogu alizochagua kwa ajili ya siku hiyo.
Sijawahi kuwauliza akina Msangi kama ni ndugu. Labda.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com