9/02/2005

Mwanablogu wa Kiswahili achaguliwa kwa Siku ya Blogu Duniani

Nilikuwa natazama wanablogu wa Kiswahili walioshiriki kwenye siku ya blogu duniani. Katika pitapita nimekuta kumbe kuna mwanablogu wa Kiswahili aliyechaguliwa. Mawazo na Mawaidha katika orodha ya wanablogu wake watano amemchagua mwanablogu mpya wa Kiswahili. Huyo ni mtaalamu wa uchawi wa kizungu, ndugu Swai. Blogu ya Swai sijui jinsi ya kuielezea. Ninadhani Swai ni mpenda ucheshi sana.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com