8/24/2005

Unaifahamu Afrika Vizuri?

Kama unadhani unaifahamu Afrika vizuri, jaribu mchezo huu wa jamaa wa SchoolNet. Jaribu zoezi gumu kuliko yote.

1 Maoni Yako:

At 8/25/2005 02:40:00 PM, Blogger Jeff Msangi said...

Nimejaribu haka kazoezi.Kalikuwa kagumu.Lakini nimejitahidi nadhani.Bara kubwa sana hili.Wananiudhi wanahabari wa magharibi wanapoliongelea kama kijiji fulani kidogo sana.Sijui sisi wenyewe ndio sababu?

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com