8/22/2005

Mbona Mimi Sikuletewa Shahada Nyumbani?

Labda ningekuwa mgombea urais wa maisha ningetumiwa shahada nyumbani. Mtafiti kanitumia habari hii. Isome mwenyewe.

4 Maoni Yako:

At 8/22/2005 06:06:00 AM, Blogger Reginald S. Miruko said...

Digrii hadi nyumbani ndivyo inavyotakiwa kuwa. Kwa nini Mtu atoke Kiraracha aende hadi Marekani kufuata 'karatasi' ya digrii? Sioni Sababu.

 
At 8/22/2005 06:06:00 AM, Blogger Reginald S. Miruko said...

This comment has been removed by a blog administrator.

 
At 8/22/2005 06:12:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Sweet blog! I have already bookmarked you guys. Great place to voice my opinion. I have launched my site. If you get time come visit me at Track Sales Talk to you soon.

 
At 8/22/2005 07:06:00 AM, Anonymous james luoga said...

Hakika nilikuwa naona sana makala zako katika gazeti la mwananchi nilikuwa nasoma lakini ilikuwa kama napotezea muda tu lakini nimegundua napata faida na kujifunza mengi. Hongera sana macha na uendelee nitakuwa msomaji wako na nitaendelea pia kukuandikia kupitia mail.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com