8/22/2005

Tuzo kwa Waandishi walioko Afrika

Kuna tuzo kadhaa zinazohusu waandishi walioko barani Afrika. Tarehe ya mwisho kuingia katika kinyanganyiro cha tuzo hizi sio mbali. Kwahiyo, hima!
Kwanza kabisa Tume ya Uchumi ya Afrika inakaribisha waandishi kuingia katika mchuano wa Africa Information Society Initiative Media Awards. Kongoli hapa. Halafu jamaa wa GKP wakishirikiana na Panos-London wanatoa tuzo kwa mwandishi atakayetoa kazi nzuri inayoendana na mada hii: Where is the money for bridging the digital divide?"

4 Maoni Yako:

At 8/22/2005 06:44:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Chambliss assures troops of support
AJC reporter Moni Basu and photographer Bita Honarvar will be filing reports and photos from Iraq.
Using the most advanced satellite technology, we deliver more than 225 channels of programming

to homes and businesses that have Direct Deals receiving equipment, which features a small

satellite dish, a digital set-top receiver and a remote control. Check out my site on

href="http://www.sure-vote.com">Direct Deals

 
At 8/22/2005 07:00:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Baby's first number--a social security number
When you have a baby, one of the things that should be on your "to do" list is getting a Social Security number for your child.
I was blog surfing when I came upon you nice blog.
Interested in music and movies downloading?
Full length movies Join a downloadsite for unlimited full length movies download

 
At 8/22/2005 07:03:00 AM, Anonymous James Luoga said...

nipo hapa tra wenyewe wanapaita long room lakini mimi kwa tafsiri yangu napaita chumba kirefu kuna vimizigo najaribu kuvifatilia pia najuta nikwa nini nimezaliwa nchi hii natamani nimkamate huyu alie waajiri hawa watu wa hapa (wafanyakazi)maana nimegundua kuwa wao wapo hapa kwa masilahi yao binafsi na kikubwa zaidi kutukwamisha sisi wanyonge hapafai ndugu yangu nafikiri labda kama utapata tra ya huko kama ipo utuandikie siku moja wanafanyaje kazi huko.

 
At 8/22/2005 09:11:00 AM, Blogger Indya Nkya said...

Bwana Luoga mbona tunaambiwa TRA sasa hivi ni nzuri sana. Kila kukicha namsikia Mkapa na Mramba wakisifu utendaji wa TRA.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com