9/02/2005

Wanablogu Nipendao Kuwasoma Wametimiza Mwaka

Wanablogu wawili ninaopenda kuwasoma toka Kenya wanasherehekea kutimiza mwaka mmoja toka waanze kublogu. Wanablogu hawa wamekuwa ni mfano wa kutia moyo kwa wanablogu wengi toka Afrika na kwingne. Nawatakia kila la heri.
Na hao sio wengine bali ni Mshairi na Mama Junkyard's. Wanablogu hawa hivi sasa wanaishi kwa Bibi Lizabeta.

1 Maoni Yako:

At 9/02/2005 11:30:00 PM, Anonymous mshairi said...

Asante sana, Ndesanjo!

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com