9/03/2005

Wanablogu niliowachagua wanasemaje?

Siku ya Blogu Duniani nilichagua, kama jinsi taratibu za siku hiyo zilivyokuwa, wanablogu watano. Baadhi yao wamesema haya:

Kongoli hapa uone aliyoandika Jilltxt kwenye blogu yake juu ya kuchaguliwa.

Mwanzilishi wa blogu hii hapa kwa ajili ya maafa ya Katrina, Andy Carvin, ameniandikia ujumbe huu: Thanks! I truly appreciate it.

Naye Marianna wa blogu hii hapa ameaniandikia ujumbe huu: Thank you! I surely couldn't read Kiswahili but I thank you for giving me the opportunity to tell your readers about Azerbaijan.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com