9/27/2005

Mikutano! Mikutano! Mikutano!

Nadhani hadi "mwokozi" akija mara ya pili atatukuta wanadamu tuko kwenye mikutano. Wanadamu tunapenda sasa kukutana...na kuongea na kupanga mikakati. Bila kusahau kula na kunywa mvinyo.

Haya hekaheka za mikutano hazijaniisha. Tarehe tano mwezi ujao nitakuwa New York kwa mkutano wa siku moja ulioandaliwa na Kituo cha Habari cha Taasisi ya Habari ya Marekani (API) uitwao We Media: Behold the Power of Us.


Ninahudhuria mkutano huu wa siku moja kupitia udhamini wa Kituo cha Habari kwa watu 15. Orodha ya waliopata udhamini huo hii hapa:

* Nathalie Applewhite, Candidate, Master of International AffairsSchool of International and Public Affairs, Columbia University
* Anjali Arora, Freelance Consultant in Information Architecture /User Experience Design
* Dr. Ralph Braseth, Director of Student Media & Assistant Professorof Journalism, The University of Mississippi
* Kent Bye, Director, The Echo Chamber Project
* Andy Carvin, Director, Digital Divide Network, EDC Center for Media& Community
* John Mwendwa Gitari, Fanning Fellow, Kettering Foundation
* Timothy Karr, Campaign Director, Free Press
* Kathryn Kross, Deputy Director, Center for Public Integrity
* Katie Lips, Creative Technologist and Co-Founder, Kisky Netmedia
* Ndesanjo Macha, Blogger, Jikomboe and Digital Africa
* Ron Mwangaguhunga, Editor, The Corsair
* Steven C. Podd, Principal, Nesaquake Middle School
* John Schott, Chairman, Cinema & Media Studies, Carleton College
* Elina Shcop, Founder, Kaleidoscope of Living (KOL)
* Nichelle Stephens, Blogger, nichellenewsletter

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com