10/06/2005

Mkutano wa We Media

Mkutano wa We Media umemalizika jana. Nilipata tatizo la mtandao usiwaya. Sina utaalaamu wa kueleza nini hasa kilichofanya kompyuta yangu ikashindwa kupatana na teknolojia iliyokuwa ikitumika mkutanoni. Nilitarajia kuandika moja kwa moja. Nina mengi ya kuandika na kuhadithia. Nipeni muda kidogo nipumzishe maungo kisha niamkie kazi hiyo ya kutoa muhtasari wa mkutano ule.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com