10/04/2005

"Maandamano" ya Mtandaoni Tunisia

Wanaharakati wa mtandaoni huko Tunisia wameanzisha "maandamano" ya mtandaoni. Wanapinga ubabe wa serikali ya nchi yao ambao itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa kuhusu jamii-habari. Kampeni hiyo ya aina yake inatumia lugha za kiingereza, kifaransa, na kiarabu. Wanamwambia rais wao, au tuseme mwizi wao mkuu: Ben Ali, Fock. Ben Ali, Yezzi, wakimaanisha: imetosha. Kwa mujibu wa habari hii hapa toka Sauti za Dunia (Global Voices) tayari serikali ya Tunisia imeshazuia Wana-Tunisia kutazama webu hii. Itazama hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com