12/08/2004

CHAMA "TWA-WALA NANYI MWALALA" NACHO HULIWA?

Kule Mexico chama twa-wala kilichokuwa madarakani kwa miaka 71 (yaani toka kilipoanzishwa mwaka 1929), PRI, kilianguka kama kuku mwenye kideri au ngedere aliyetunguliwa kwa kombeo katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mwaka 2000. Chama "twa-wala nanyi mwalala" nchini Tanzania kimetiwa ng'eu. Kimekabwa kabali. Huu ni mwanzo wa mwisho? Soma habari hii.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com