6/27/2004


Kila mwaka mji wa Toledo hapa Ohio huwa unasherehekea siku ya Tanzania. Siku hii huandaliwa na shirika la Great Lakes Consortium ambalo hushughulika na miradi mbalimbali ya maendeleo hapo Tanzania. Pia mji wa Toledo ni mji-dada wa mji wa Tanga. Picha hii inaonyesha siku ya Tanzania mwaka juzi, ambapo vinyago na vitu mbalimbali toka Tanzania viliuzwa. Posted by Hello

1 Maoni Yako:

At 6/29/2004 06:44:00 AM, Anonymous Anonymous said...

vinyago vya mwenge au mtwara? unajua vinyago hasa viko mtwara sio Dar.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com