6/27/2004

AMERIKA

Hili ni sehemu ya moja ya mashairi ambayo yatachapwa karibuni. Linaitwa Amerika:

Hii hapa Amerika
Uliyoililia
Harakaharaka ndio mwendo
Polepole haina baraka
Baridi kali, sheria kali
Utamaduni baridi.

Binadamu wanaongea na mbwa
Wao kwa wananuniana!

3 Maoni Yako:

At 6/29/2004 06:51:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Unaonjesha na kutuacha na kiu? Kisa cha binadamu kuongea na mbwa na kununiana?

 
At 6/29/2004 06:51:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Uliyataka mwenyewe

 
At 6/29/2004 08:30:00 AM, Anonymous Anonymous said...

ndugu macvha nakusoma mwananchi sikujua unaandika mashairi.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com