6/21/2004

Mbingu na jehanamu

Swali: Hivi kwanini unadhani kuwa mbingu au jehanamu utaipata baada ya kufa wkati vyote viko hapa duniani? Usikubali shehe au kasisi akudanganye maisha yako yote. Hoji! Kataa kudanganywa!
Tatizo kubwa ulilonalo ni kudhani kuwa ni kweli kasisi na shehe huwa "wanaongea na mungu."

1 Maoni Yako:

At 6/25/2004 04:03:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Unapingana na maandiko bwana Macha? Angalia usije ukakufuru.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com