6/17/2004

usisahau

Nimemaliza kutuma makala ya mwisho katika mfululizo wa makala juu ya imani ya Kirasta. Kwahiyo usisahu kusoma jumapili hii katika gazeti la Mwananchi (gumzo la wiki).

1 Maoni Yako:

At 6/25/2004 06:05:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Ninafuatilia makala yako juu ya Urasta. Vipengele vya biblia tafadhali viingilie kwa undani zaidi

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com