6/24/2004

Bush na wezi wenzie

Bush na wezi wenzie nasikia matumbo yao moto kutokana na filamu ya Michael Moore iitwayo Fahrenheit 911 ambayo pamoja na mambo mengine inaonyesha uhusiano wa familia ya Bush na Osama na pia wauaji wa Kinazi. Bado sijaitazama ila napanga kwenda wikiendi moja na familia. Kuna siku nilisema kuwa Moore ana kitabu kinaitwa Stupid Whitemen! Kumbuka kuwa yeye naye ni mweupe!

2 Maoni Yako:

At 6/25/2004 03:39:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Vitawatokea puani!

 
At 6/27/2004 02:43:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Unamuita huyo Rais wa huko mwizi? Shauri yako. Wasije wakakutimua.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com