6/27/2004

Utamaduni Msalabani

Hii ni sehemu ya shairi jingine ambalo ni refu kidogo. Nitakupa beti mbili tu. Linaitwa Utamaduni Msalabani.

Kura twapiga, sadaka twatoa
Kodi twalipa, swala twasali
Walalanjaa
Cha moto, mbona
Bado Twakiona?

Demokrasia ghasia
Mafukara twauziwa,
Jehanamu ya moto
Masikini twatishiwa,
Wa kusema wamesema
Wa kusikia ni viziwi,
Hivi chukua chako mapema
Ni azimio la wapi?

3 Maoni Yako:

At 6/29/2004 06:41:00 AM, Anonymous Anonymous said...

TUMALIZIE HILI SHAIRI TAFADHALI

 
At 6/29/2004 06:43:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Chukua chako mapema ni azimio la zanzibar. Zanzibar ndiko walikoua azimia la Arusha. Kwa taarifa yako.

 
At 6/29/2004 08:30:00 AM, Anonymous Anonymous said...

lete mashairi zaidi

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com