11/02/2005

Shujaa Rosa Parks Azikwa Leo

Mwanamama shujaa Rosa Parks, aliyekataa kumpisha mtu mweupe kiti ndani ya basi enzi za ubaguzi wa waziwazi (maana ubaguzi wa chinichini unaendelea) nchini Marekani, amezikwa leo. Bonyeza hapa kuhusu mazishi ya mwanamama Parks aliyekuwa na miaka 92. Bonyeza hapa na hapa kusoma historia yake.

1 Maoni Yako:

At 11/02/2005 09:57:00 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Nilikuwa simfahamu shujaa huyu, itabidi nimfuatilie maana anatia nguvu.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com