11/02/2005

"Lile Jani" ni halali kwa watu wazima huko Denver

Kama una miaka 21 na unaishi huko Denver, Marekani, basi ukikamatwa na polisi na kipisi au msokoto wa "lile jani" hakuna noma. Bonyeza hapa usome wapiga kura walivyoamua.

1 Maoni Yako:

At 11/03/2005 01:52:00 AM, Blogger mwandani said...

Kwa nini watu wanazuia wenzao wasile mboga? Waache waendelee kula majani.. Mufindi jani linatumika kama mchicha tu... India ni dawa ya usingizi, unapewa hospitali kama una matatizo ya jinamizi na kukosa usingizi...
Mtu yakimshinda atawacha mwenyewe

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com