10/30/2005

Blogu za Kiswahili katika Blogu ya Sauti za Dunia

Hivi sasa kila alhamisi, kutakuwa na makala fupi kuhusu yazungumzwayo katika baadhi ya blogu za Watanzania/Kiswahili katika blogu ya Sauti za Dunia (Global Voices).

Bonyeza hapa usome makala ya wiki iliyopita. Bonyeza hapa usome ya wiki ile nyingine.

3 Maoni Yako:

At 10/31/2005 02:17:00 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Kazi nzuri sana kaka.Lakini kumbe wewe utafuta mashirika ambayo yanakosa watwawala... sasa mimi mkinichagua nitafuta na kupiga marufuku hizi blogu zinazojifanya kutusahihisha

 
At 10/31/2005 10:57:00 AM, Anonymous Anonymous said...

wewe ulisema mkapa hapendi kukosolewa na wewe jeeeeee? ndo walewale lazima tukosoane mwanangu.

 
At 11/01/2005 11:57:00 AM, Anonymous Anonymous said...

wewe egidio wacha tabia ya kuomba ukiranja hauko secondary hapa unapenda madaraka ee unda chama chako hapo yuko kwenye kueleweshana eti mkinichagua

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com