12/03/2004

MALIK AL-SHABAZZ KATIKA MDAHALO WA OXFORD

Msikilize Malik Al-Shabazz, au Malcolm X, aliyekuwa amemaliza darasa la nane akibishana na wanazuoni katika chuo kikuu cha Oxford. Wakati ambapo bwana huyu wa shoka wa "Kwa njia yoyote ile..." alimaliza darasa la nane huku akiwa kibaka, mwalimu wake, Elijah Muhammad, alimaliza darasa la nne. Hebu msikilize hapa...lazima wangemuua. Kulikuwa hakuna namna!

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com