12/03/2004

WAPANDA PUNDA KAMA YESU/ISA/YESHUA

Wananchi huko visiwani Zanzibar wanapanda punda kama alivyofanya Yesu/Isa/Yeshua alipoingia katika malango ya Yerusalemu akiwa amepanda mwana punda, ambaye wanafunzi wake walimchukua bila ruhusa ya mwenye mali...uzuri wa huu usafiri wa punda huko Zanzibar ni kuwa punda hawaharibu ukanda wa ozoni kama yafanyavyo magari.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com