12/01/2004

BLOGU! BLOGU! BLOGU!

Kuna blogu nyingine mpya inaandaliwa na Mtanzania aliyeko masomoni Afrika Kusini. Kutokana na shauku kubwa waliyonayo wengi juu ya blogu naona ni vyema kujua wana blogu wengine na wanataaluma wanasema nini juu ya teknolojia hii. Kuna mjadala wa wanataaluma hapa. Mjadala huu ulikuwa katika muundo wa meza-dhanifu (virtual roundtable!). Pia ukienda hapa utakuta habari mbalimbali juu ya blogu na uandishi wa habari na historia yake.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com