12/03/2004

AYA HIZI ZINANITIA KICHEFUCHEFU

Soma aya hizi toka ndani ya biblia "takatifu": Timoteo wa Kwanza 2:11-15, Wakorinto wa Kwanza 11:7-9, Waefeso 5:22-24, Wakorinto wa Kwanza 14:34-35.
Na kutoka ndani ya kurani "tukufu": Kurani 4:34.

Kusema kweli aya hizi zinanichefua! Ngoja nitafute ndimu au limao nisije tapika bure.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com