7/23/2004

Kwa Wale Walioko Marikani

Kama hujatazama sinema mpya ya Michael Moore : Fahrenheit 911, tafadhali sana nenda kaitazame. Pia tazama filamu zake nyingine hasa Bowling For Columbine na Roger and Me. Nenda kaitazame, utakuja kuniambia! Wale walioko Tanzania, kuna kundi la vijana wenye mwamko wa kimapinduzi ambao watakuwa na kopi yake siku za karibuni. Nitatoa maelezo ya jinsi ya kuwapata.
1 Maoni Yako:

At 7/26/2004 08:16:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Nimeitazama hii documentary. Ni kiboko. Moore kafanya kazi kubwa sana.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com