7/23/2004

SAMAHANI SANA (MAKALA ZANGU)

Ndugu zanguni, kuna tatizo kidogo kwenye "link" za makala zangu. Ninarekebisha. Kwahiyo baada ya muda mfupi mtaweza kupata makala ninazotoa kwenye gazeti la Mwananchi kila jumapili. Na pia makala nyingine nilizoandika huko nyuma kwenye magazeti mengine. Na tafsiri ya zile nilizoandika kwa kiswahili. Ninaomba mniwie radhi kwa usumbufu. Makala unayoweza kuipata ni moja iitwayo BABU SEYA. Hii ilitoka jumapili mbili zilizopita.


1 Maoni Yako:

At 7/26/2004 12:22:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Nimekuwa nataka sana kusoma makala zako ila nikawa sipati. Kama umejua tatizo vyema. Lisawazishe. NIlikuwa nakusoma sana nikiwa Tanzania. Sasa niko hapa Marekani nitafurahi nikiendelea kukusoma.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com