7/08/2004

English Soon

Since there are many people who do not speak Swahili and would like to be part of this community, I will start posting in both English and Swahili soon. Uhuru!

5 Maoni Yako:

At 7/08/2004 08:09:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Usije ukatusahau wazalendo wenzako ambao ni "maimuna." Yaani lugha haipandi.

 
At 7/08/2004 08:09:00 AM, Anonymous Anonymous said...

halafu kaka macha mbona unaandika kifupi hivyo?

 
At 7/08/2004 09:11:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Umeanza ndesanjo,
lugha ya hawa wakoloni ya nini?

 
At 7/08/2004 01:04:00 PM, Anonymous Anonymous said...

walalahoi kiingereza hatukijui

 
At 7/09/2004 02:28:00 AM, Blogger chaurembo said...

"NO CIVILISATION HAS DEVELOPED WITH A FOREIGN LANGUAGE" Hichi ndicho kichwa cha habari cha mahojiano yaliyochapwa ndani ya makala ya mwezi wa sita 2004 ya 'newAfrican'. jarida linalochapwa huko Uingereza na kuhaririwa na Bwana Baffour Ankomah. Bw. Kassahun Checole, muasisi wa The African World Press amefafanua vema juu ya suala hili, hususan hatma ya vitabu vya African Writers series vilivyochapwa na Heinemann - kama unakumbuka Things Fall Apart by Chinua Achebe- namna vilivyokosa wasomaji na hatimaye Ngugi Wa Thiong'o alivyojitoa muhali na kuandika 'Ndaahika Ndeenda' katika lugha ya Kikuyu. juu ya umuhimu wa lugha katika kujikomboa pengine hakuna mwengine aliyedhihiri kama Steve Biko. Soma kitabu kiitwacho 'I write what I like' Insha teule za Biko kilichochapwa na Penguin Books 1988.
Kisha kusema yote hayo kalamu ni yako, na ukitaka kuwafahamisha wasemaji wa kiingereza pia basi usisahau titi la mama li tamu hata kama ni la mbwa! na lugha uliyozaliwa nayo haiishi utamu.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com